Meya wa zamani wa Manispaa ya Kinondoni Alhaji Salum Londa amepewa muda hadi saa tisa alasiri leo awe amelipa kodi ya nyumba anayodaiwa na Kiwanda cha Urafiki kiasi cha Sh. 18 milioni, iwapo atashindwa, vitu vyake vitatolewa nje. Source: Mwananchi

No comments