Ben Pol baada ya kuona Alikiba na Ommy Dimpozi wameweka nywele rangi kama yeye amefunguka haya
Baada ya Alikiba kubadili rangi ya nywele zake na kuweka Nyekundu kisha
Ommy Dimpozi naye kufanya hivyo huku ikiaminika kwa mashabiki kuwa
wamem-copy msanii Ben Pol kwa kuwa yeye awali alibadili nywele zake na
kuzifanya kuwa za kijani.
Sasa baada ya wasanii hao kufanya hivyo mashabiki walitegemea labda Ben Pol angechukulia tofauti na kuamini kuwa wamemuiga yeye lakini imekuwa tofauti baada ya Ben Pol ku-post picha ya wawili hao nakuandika kuwa… “Nimefarijika sana leo ” – Ben Pol

No comments