Ibada ya Kuuaga Mwili wa Akwilina Kanisaini Inaendelea
Mwili wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina
Akwilini umeshapelekwa katika Kanisa la Mtakatifu Theresia Parokia ya
Olele Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro ambako inafanyika ibada ya
kuaga mwili wa marehemu.
Baada ya ibada hiyo ndugu, jamaa, viongozi na watu wa kada mbalimbali watatoa heshima za mwisho na kisha mwili kupelekwa nyumbani kwa ajili ya mazishi yatakayoanza saa saba mchana.
Baada ya ibada hiyo ndugu, jamaa, viongozi na watu wa kada mbalimbali watatoa heshima za mwisho na kisha mwili kupelekwa nyumbani kwa ajili ya mazishi yatakayoanza saa saba mchana.

No comments