Idadi ya Watu Waliofariki kwa Kipindupindu Dodoma Ndani ya siku 150
Habari kutokea Dodoma zinaeleza kwamba Watu 20 wamefariki dunia mkoani
humo kufuatia kuzuka kwa mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu kuanzia
mwezi October mwaka jana wakati na wengine 471 wakiripotiwa kutibiwa
hospitalini.
Kwa mujibu wa Mganga mkuu wa mkoa Dr James Kiologwe amesema idadi ya wagonjwa imezidi kuongezeka huku kwa siku ya jana pekee walipokea jumla ya wagonjwa kumi katika vituo vya afya na hospitali mbalimbali za mkoani humo .

No comments