Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Dk.Helen
Kijo-Bisimba jana alifika Msibani kwa mwanafunzi Akwilina, Mbezi mwisho
katika Wilaya ya Ubungo kwa ajili ya kuwapa pole wafiwa.
Akwilina alifariki dunia Februari 16, 2018 baada ya kupigwa risasi akiwa
kwenye daladala wakati polisi wakiwatawanya waandamanaji ambao ni
wafuasi wa Chadema
No comments