Tanzia : MWENYEKITI WA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MTWARA HASSAN SIMBA AFARIKI DUNIA


Habari zilizotufikia hivi punde
zinaarifu kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara
Hassan Simba amefariki dunia katika hospitali ya Temeke jijini Dar es
salaam leo mchana Jumamosi Februari 24,2018.
Hassan Simba alikuwa anapata matibabu baada ya kuugua muda mrefu.
Mungu ailaze Mahali Pema Peponi roho ya Marehemu Hassan Simba. Amina!
Taarifa zaidi tutakuletea hivi punde
No comments