Rais Mstaafu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete ambaye pia mbunge wa zamani wa Jimbo la Chalinze na Mkewe
Mama Salma Kikwete wametoa mchango wa mifuko 300 ya sementi
itakayofanikisha ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kwakonje na nyumba ya
walimu.
No comments