Tarehe ya Uchaguzi mkuu Zimbabwe yatangazwa
Rais Mnangagwa ametangaza kuwa uchaguzi mkuu nchini Zimbabwe unatarajia kufanyika 30 Julai.
Huu utakua ni uchaguzi wa kwanza nchini humo bila Robert Mugabe.
Robert Mugabe alilazimika kujiuzulu mwaka jana baada ya jeshi la nchi hiyo kuingilia kati.
Mnangagwa atakua anashindana na mpinzani wake Nelson Chamisa baada ya kifo cha Tsvangirai.
Uchaguzi unatarajiwa kuwa wa huru na wenye haki.

No comments