Header Ads

VIDEO: Waziri Majaliwa Ampongeza Meya wa jiji kwa Kutoa Millioni 100

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa amempongeza Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita  kwa kutoa millioni 100 kwa mjasiria mali ili kuweza kujikwamua kiuchumu na nkuondokana na nishati ya mkaa na kuelekea kwenye nishati mbadala.

Pongezi hizo zimetolewa leo jijini Dar es salaam katika viwanja vya mnazi mmoja kwenye maadhimisho ya wiki ya mazingira duniani ambayo yamefunguliwa leo  rasmi na Mh kassimu majaliwa.

Vile vile amewataka wananchi kutumia nishati hiyo ipasavyo na kuepukana na matumizi ya mkaa kutokana uharibifu wa mazingira na kupelekea kupunguza kuwapo kwa mvua.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.................USISAHAU KUSUBSCRIBE.....................



No comments

Powered by Blogger.