Header Ads

EID MUBARAK! Bakwata yathibitisha mwezi kuandama


Uongozi wa Muungwana Blog pamoja na wafanyakazi wake unapenda kuwatakia heri ya sikukuu ya Eid el Fitr Waislamu wote nchini. Tayari Baraza Kuu la Waislamu nchini BAKWATA kupitia kwa Mufti wake Sheikh Abubakary Zubeir limethibitisha kuandama kwa mwezi katika maeneo mbalimbali ikiwemo jijini Dar es Salaam, Tanga na mkoani Morogoro.

Muungwana Blog inawatakia sikukuu njema! Eid Mubarak.


No comments

Powered by Blogger.