Jafo akiri kuroridhishwa na ukusanyaji wa mapato
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais - Tamisemi Suleiman Jafo ameliambia Bunge kuwa haridhishwi na ukusanyaji wa mapato katika hospitali ya Palestina - Sinza.
Jafo amesema hayo bungeni mkoani Dodoma wakati akijibu maswali yaliyoelekezwa kwa wizara yake na kuongeza kuwa amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kuingilia kati.

No comments