Header Ads

Korea Kaskazini yaanza kurudisha wanajeshi wa Marekani


Rais wa Marekani Dold Trump akizungumza na shirika la habari la Fox News, amesema siku ya Ijumaa  Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (DPRK) imeanza kurejesha mabaki ya wanajeshi wa Marekani waliopotea katika vita ya Korea (1950-53).

Trump alikutana na kiongozi wa juu wa DPRK Kim Jong Un nchini Singapore siku ya Jumanne, tukio la kihistoria ambalo lilifuatwa na taarifa ya pamoja.

No comments

Powered by Blogger.