Limerudi Tena! Kombe la Dunia mchakamchaka viwanja 12 Urusi
Wakati mataifa mbalimbali yakijiandaa na michuano ya kombe la dunia linalotarajiwa kuanza kutimua vumbi nchini Urusi hii leo kwa mchezo wa ufunguzi baina ya wenyeji Urusi dhidi ya Saudia Arabia Muungwana Blog inakuletea viwanja 12 ambavyo vinatarajiwa kutumika katika mashindano hayo.
Na hivi ndivyo viwanja vitakavotumika katika michuano hiyo mikubwa na ya kwanza kwa ukubwa katika mchezo wa soka.
1. LUZHNIKI STADIUM, MOSCOW
Kiwanja kikubwa zaidi katika michuano hiyo nchini Urusi ni Luzhniki kinauwezo wa kuingiza watu 81,000 kitafunguliwa mwakani kabla ya kuanza kwa mashindano hayo.
Kinaingiza watu: 81,006
Kilifunguliwa: 1956 (Nakufanyiwa marekebisho na kutarajiwa kufunguliwa 2018)
Hali ya hewa: Kiwango cha juu cha joto ni 23C na cha chini 18C , uwezekano wa kunyesha mvua ni 50%.
2. SPARTAK STADIUM, MOSCOW
Dimba la Spartak ni miongoni mwa viwanja vitakavyotumika kombe la dunia jina hili limebadilishwa katika kipindi hiki cha maandalizi ya michuano hiyo aawali ulikuwa ukiitwa Otkrytiye Arena unauwezo kuingiza watu 43,298.
Kinaingiza watu: 43,298
Kilifunguliwa: 2014
Hali ya hewa: Kiwango cha juu cha joto ni 23C na cha chini 18C , uwezekano wa kunyesha mvua ni 50%.
3. NIZHNY NOVGOROD STADIUM, NIZHNY NOVGOROD
Uwanja huu wa Nizhegorod u[po umbali wa maili 265 mashariki mwa jiji la Moscow eneo lake huvutia hasa kutokana na kuzungwa na viitu vya asili na umbile lake ni duara huku ukiwa na taa kwa nyakati za usiku na unaingiza watu 45,331.
Kinaingiza watu: 45,331
Kilifunguliwa: 2018
Hali ya hewa: Kiwango cha juu cha joto ni 23C na cha chini 13C , uwezekano wa kunyesha mvua ni 60%.
4. MORDOVIA ARENA, SARANSK
Uwanja huu wa Saransk upo Kusini Mashariki mwa jiji la Moscow, Mordovia Arena utakuwa wenye rangi nyingi na za kuvutia kwaajili ya kombe la dunia 2018 na utaingiza watu 45,000.
Kinaingiza watu: 45,000
Kilifunguliwa: 2018
Hali ya hewa: Kiwango cha juu cha joto ni 23C na cha chini 12C , uwezekano wa kunyesha mvua ni 33%.
5. KAZAN ARENA, KAZAN
Uwanja wa Kazan Arena unafananishwa na vile vya Wembley na Arsenal wa Emirates. Uwezo wake ni kuingiza watu 45,000.
Kinaingiza watu: 45,000
Kilifunguliwa: 2013
Hali ya hewa: Kiwango cha juu cha joto ni 24C na cha chini 14C , uwezekano wa kunyesha mvua ni 55%.
6. SAMARA ARENA, SAMARA
Uwanja huu wa Samara bado nao upo katika matengenezo ipo umbali wa maili 655 kutoka jiji la Moscow.
Kinaingiza watu: 44,807
Kilifunguliwa: 2018
Hali ya hewa: Kiwango cha juu cha joto ni 26C na cha chini 16C , uwezekano wa kunyesha mvua ni 50%.
7. EKATERINBURG ARENA, EKATERINBURG
Kiwanja hiki cha Ekaterinburg kipo katika jiji ambalo ni la nne kwa ukubwa kutokana na ‘geographical’ ya nchi hiyo.
Kinaingiza watu: 35,696
Kilifunguliwa: 1953
Hali ya hewa: Kiwango cha juu cha joto ni 23C na cha chini 13C , uwezekano wa kunyesha mvua ni 66%
8. Saint petersburg stadium, st petersburg
Kinaingiza watu: 68,134
Kilifunguliwa: 2017
Hali ya hewa: Kiwango cha juu cha joto ni 21C na cha chini 13C , uwezekano wa kunyesha mvua ni 60%.
9. THE EKATERINBURG ARENA

10. KALININGRAD STADIUM, KALININGRAD
Kaliningrad ni miongoni mwa kiwanja kitakachotumika hapo mwakani.
Kinaingiza watu: 35,212
Kilifunguliwa: 2018
Hali ya hewa: Kiwango cha juu cha joto ni 22C na cha chini 12C , uwezekano wa kunyesha mvua ni 50%.
11. VOLGOGRAD ARENA, VOLGOGRAD
Uwanja wa Volgogrand Arena upo umbali wa maili 690.
Kinaingiza watu: 35,212
Kilifunguliwa: 2018
Hali ya hewa: Kiwango cha juu cha joto ni 22C na cha chini 12C , uwezekano wa kunyesha mvua ni 50%.
12. FISHT STADIUM, SOCHI
Uwanja wa Fisht upo pwani mwa bahari nyeusi.
Kinaingiza watu: 47,700
Kilifunguliwa: 2013
Hali ya hewa: Kiwango cha juu cha joto ni 26C na cha chini 18C , uwezekano wa kunyesha mvua ni 40%.

No comments