Header Ads

Nafasi za Kazi kwa Waandishi wa Habari



Muungwana Blog inatoa Fursa kwa Mwaandishi wa Habari ambae anapenda kufaya kazi na sisi, Tunapokea Waandishi wa Habari kutoka Mikoani na Wilayani mbalimbali nchini.

Sifa za Mwombaji.

1. Uwe na Diploma au Digree
2. Uwe umefanyakazi kwa zaidi ya miaka 2
3. Uwena na vifaa vyako mwenyewe vya kazi
4. Uwe mbunifu, mchapakazi  na mwenye ushirikiano kwa kila mtu.

Kama upo tayari kufanya kazi Muungwana blog wasiliana na sisi kupitia Email hii muungwanatube@gmail.com

No comments

Powered by Blogger.