Header Ads

Ofisi ya Ridhiwan Kikwete inateketea kwa Moto


Ofisi ya Mbunge wa Chalinze wa CCM Ridhiwani Kikwete inaungua moto muda huu na jitihada za kuuzima zinaendelea.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jonathan Shanna amesema “Kuna Mwanamke kichaa alikuwa na moto nje ya ofisi, upepo ulipokuja ulisukuma moto ukashika jengo ila kwa sasa Polisi kwa kushirikiana na Wananchi wanauzima moto nitatoa taarifa rasmi, bado sijawasiliana na Mbunge”


No comments

Powered by Blogger.