Header Ads

Rais atoa ahadi ya ajira kwa watu 100 000


Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan atoa ahadi ya ajai kwa watu wasiopungua 100 000 katika miradi mipya ya maendeleo kote nchini Uturuki.
 Miradi kabambe ya maendeleo inatarajiwa kuanza katka mikao matatu mikubwa nchini Uturuki.
Rais ErdoÄŸan akiwa katika kapeni za uchaguzi Jumapili amesema kuwa  watu wasiopungua 10 0 000 wataajiriwa katika miradi inayotarajiwa kuanzishwa nchini Uturuki.
Miradi hiyo inahusu maendeleo katika sekta ya teknolojia na viwanda.



No comments

Powered by Blogger.