VIDEO: Kiwete, Mzee Mwinyi kunogesha Mashindano ya Qur an
Waliokuwa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Alihasani mwinyi na Mh. Jakaya kiwete wamealikwa kusherehesha mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi Qur an yatakayofanyika siku ya Jumapili Tarehe tatu mwezi wa sita katika ukumbi wa Diamond Jubile.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI............USISAHAU KUSUBSCRIBE.................

No comments