Wahamiaji haramu zaidi ya 100 wakamatwa
Wahamiaji zaidi ya mia moja wamekamatwa kuini mwa Uturuki.
Kwa mujibu wa habari,wengi wao walikuwa wakijaribu kuvuka kuelekea Ugiriki.
Kati ya wahamiaji hao,wanawake wengi na watoto ndio walikuwa wakijaribu kuvuka kuelekea Ugiriki.
Wengi wa wahamiaji hao waliokamatwa ni raia wa Senegal,Mali,Eritrea na Afghanistan.
Wahamiaji wengi wamekuwa wakikamatwa katika baadhi ya maeneo nchini Uturuki wakiwa hawana vibali vya kuishi nchini humo.

No comments