Ratiba mechi 5 za mwanzo Simba ligi kuu Tanzania bara 2018/2019
Ratiba mechi 5 za mwanzo Simba ligi kuu Tanzania bara 2018/2019
Klabu ya Simba ambao ndiyo mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara 2018/2019 wataanza na mechi hizi 5 Ligi Kuu soka Tanzania bara.
- Simba vs Tanzania Prisons 22.8.2018
- Simba vs Mbeya City 25.8.2018
- Simba vs Lipuli Fc 1.9.2018
- Ndanda vs Simba 15.9.2018 (Away)
- Mbao Fc vs Mbao 20.9.2018 (Away)

No comments