BURIANI MFALME WA REGGAE TANZANIA JAH KIMBUTE
Sehemu ya marafiki wa karibu wa Jah Kimbute wakiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Ijumaa jioni kuuaga mwili wa marehemu kabla ya kupelekwa Tanga kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Jumamosi Septemba 22, 2018
Marafiki wakiaga mwili wa Jah Kimbute
Jeneza lenye mwili wa marehemu Jah Kimbute likiingizwa garini tayari kwa safari ya kwenda Tanga kwenye mazishi
Marafiki wa karibu wa Jah Kimbute wakiomba dua katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Ijumaa jioni baada ya kuuaga mwili wa marehemu kabla ya kupelekwa Tanga kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Jumamosi Septemba 22, 2018
Gotta Irie, Dj Ebony Moualim na Carola Kinasha wakimfariji Ras Kimbute, mtoto wa Jah Kimbute, kabla ya kuanza safari ya kwenda Tanga.Kwa habari zaidi BOFYA HAPA






No comments