MAANDAMANO YA KUMBUKIZI YA KIFO CHA IMAM HUSSEIN YAFANA
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salim (wa pili kushoto) akiongoza maandamano ya kumbukizi ya kifo cha Imam Hussein Ally wa dhehebu la kiislamu la Shia, jiini Dar es Salaam juzi jioni. Kushoto kwake ni balozi wa Iran nchini, Mosa Farhang na anayefuatia ni Katibu wa kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam, Padri John Solomon.
Waumini wa dini ya kiislamu wa dhehebu la Shia wakiwa katika maandamano ya kumbukizi ya kifo cha Imam Hussein Ally, jiini Dar es Salaam jana
No comments