Header Ads

Fid Q Amvesha Pete ya Uchumba Mpenzi Wake


Rapper Fid Q amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi maarufu kwa jina la 'Mama Cheusi' hapo jana, ikiwa ni mwanzo wa safari kuelekea maisha yao ya ndoa.

Inasemekana Harusi yao itafungwa hivi karibuni.



Hongereni ziwaendee kwa hatua hii.

No comments

Powered by Blogger.