Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela amewaomba waandaaji wa shindano hilo walisitishe Amesema kuwa anayejua ubora wa Wakuu wa Wilaya ni yule aliyewateua(Rais) Shindano hilo limeandaliwa na Clouds Media Group kupitia kipindi cha Clouds 360
No comments