Header Ads

Mwili wa Mfanyabiashara Wazuiwa Hospitalini, Wagundulika Kuwa na Dawa za Kulevya


Mfanyabiashara Happy Mboya aliyefariki dunia katika hospitali ya Mwananyamala na mwili wake umezuiwa kuchukuliwa na ndugu
-
Inaelezwa kuwa hatua hii ni baada ya kugundulika kuwa na #DawaZaKulevya. Ulipaswa kusafirishwa kwenda Moshi leo
-
Jeshi la Polisi limechukua mwili huo na kuupeleka katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi zaidi
-
Mume wa marehemu anashikiliwa na Jeshi la Polisi akituhumiwa kuhusika na tukio hilo


No comments

Powered by Blogger.