Header Ads

Rais Magufuli Aongoza Mapokezi ya Ndege Airbus A220-300


Ndege hiyo ambayo ni ya kwanza ya aina yake kununuliwa na Taifa la Afrika imewasili leo katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar

Pichani ni baadhi ya maneno aliyoyaongea Rais katika hafla hiyo iliyohudhuriwa pia na viongozi wengi akiwemo Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge na Jaji Mkuu

Ndege inaweza kubeba watu 132 ambapo 12 ni daraja la biashara na 120 ni daraja la kawaida






No comments

Powered by Blogger.