Simba Yatupwa nje Kombe la Mataifa
Mpira umemalizika, Simba wanatupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports katika mchezo wake wa kwanza kwa mwaka wa pili mfululizo. FT: Simba SC 2-3 Mashujaa FC.
Mashujaa wamepata bao la tatu kupitia kwa Rajabu Athuman zikiwa zimeongezwa dakika 7 baada ya 90 kukamilika.
Kwa upande wa simba mabao yamefungwa na Paul Bukaba tena
Mashujaa wamepata bao la tatu kupitia kwa Rajabu Athuman zikiwa zimeongezwa dakika 7 baada ya 90 kukamilika.
Kwa upande wa simba mabao yamefungwa na Paul Bukaba tena

No comments