Mbunge mteule wa jimbo la Temeke ambaye amepita bila kupingwa, Abdallah Mtolea amekishukuru Chama Cha Mapinduzi CCM kwa kumpa ushirikiano mzuri hadi leo kutangazwa kuwa Mbunge wa jimbo hilo. TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.
No comments