Dhahabu na Mamilioni ya Fedha Vyakamatwa Mwanza
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, mkoani Mwanza upo mzigo wa matofali ya dhahabu yenye thamani zaidi ya Tsh. Bilioni 360 yakiwa kwenye gari dogo aina ya Toyota chaser umekamatwa.
Pia Polisi wamekamata gari lingine aina ya Toyota Land Cruiser Kruger likiwa na begi lenye fedha taslimu zaidi ya Tsh. Milioni 360
Vitu vyote vimekamatwa katika nyakati tofauti na maeneo tofauti. Dhahabu imekamatwa Kigongo Ferry huku fedha taslimu zikikamatwa Kamanga ferry.
Watuhumiwa wanashikiliwa na Polisi na majina yamehifadhiwa kwa sababu za kiupelelezi.
No comments