Header Ads

Lulu Michael Kugawa Nguo Zake Zote

Lulu Michael Kugawa Nguo Zake Zote
Msanii wa Filamu Bongo, Elizabetha Michael Lulu amepanga kugawa nguo zake ingawa bado hajaeleza sababu ya kufanya ni hivyo.

Mrembo huyo kutoka kiwanda cha filamu ametumia mtandao wa Snapchart kueleza hilo.




No comments

Powered by Blogger.