Nandy 'Hakuna Mwanaume Yoyote Aliyenisaidia Kununua Magari Yangu Manne na Kuwajengea Nyumba Wazazi'
![]() |
| Nandy |
“Siri ya mafanikio yangu inatokana na juhudi zangu. Pia nina menejimenti nzuri ambayo ipo siriazi sana linapokuja suala la kazi, ndiyo maana imenifanya niwe na mafanikio haya na hivi karibuni natarajia kufungua kampuni yangu mwenyewe ila siwezi kusema ni ya nini kwa sababu kuna mambo ambayo bado tunayaweka sawa, yakikamilika basi kila mtu atajua,” alisema
STORI: Shamuma Awadhi

No comments