Header Ads

Simba Day Bila Diamond Platnumz na Manara


"Simba day" ya leo ,imekosaa wahamasishaji wakubwa wawili @hajismanara @diamondplatnumz

Inawezakana mashabiki wakaenda kwa kiasi chake lakini itakosa vibe..
👉Hawa majamaa wawili walikua wanalet vibes sanaa..na ndio walio sababisha msemo wa "acheni ni wakere" uwakele kweli watu..hasa hasa wapinzani wa Simba..

👉Simba day ,imepoa toka siku ya kwanza kutangazwa!. nikwasababu imekosa wahamasishaji wakubwa.

👉 Mashabiki wa Simba wasio an uelewa mkubwa wanakimbiria kutukana

Lakini ukwelii wanaujua kabisaaa.kwamba kuna kitu kweli hakijakaa sawaaa.
👉Madhara ya hiki kitu tutakiona baada ya Simba day..
👉Watu mdogo mdogo,wanaikimbia simbaaa..

USHABIKI USIOUMIZA




No comments

Powered by Blogger.