Mwijaku Atoboa Siri ya Collabo ya Ali Kiba na Harmonize, Kweli Wameungana Kumshusha Mtu
Kupitia kipindi cha #LeoTena Mwijaku ametangaza kuwa ifikapo mwaka 2022 wapenzi wa burudani wategemee collabo kubwa.
Ulikuwa muda wa #ZilizoKiki ndipo #Mwijaku akaibuka na kusema wasanii hawa watatu mwakani wanategemea kutoa ngoma moja.
Tuambie kwa wewe unavyomjua Mwijaku unadhani kauli yake inaukweli?

No comments