Header Ads

Mh. Kwandikwa azindua Nembo mpya ya Shirika la posta pamoja magari kwaajili ya Abiria na kusambaza nyaraka



Shirika la posta la Tanzania leo limezindua nembo yao mpya na kuachana na nembo yao ya zamani ambayo imetumikakwa takribani miaka 24 iliopita. na leo hii kuzindua nembo mpya ambayo imeanza kutumika leo Rasmi.

Katika uzinduzi huo vile vile mgeni rasmi Naibu waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano, Mh. Elias Kwandikwa  alizindua pia na magari kwaajili ya usafirishaji wa abiria na nyaraka mbali mbali ambazo zitakuwa zinasambazwa kwa kutumia njia ya posta. Ambapo mh. kwandikwa amewataka pia Shirika la posta kuongeza ufanisi  katika utendaji kazi wao.

ANGALIA FULL VIDEO HAPA USISAHAU KUSUBSCRIBE......

No comments

Powered by Blogger.