VIDEO: Ukweli kuhusu umiliki wa TTCL kwa Airtel na Mtu asiyejulikana
Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Bw. Omary Rashid Nundu amekanusha kuwa
kampuni ya TTCL haiimiliki kampuni ya Airtel bali inamilikiwa na mbia
pamoja na serikali. tofauti na taarifa ilivyozagaa kuwa wao wanamiliki
asilimia 40 kwaniaba ya serikali.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI USISAHAU KU SUBSCRIBE.........
No comments