Header Ads

Watu 23 wafariki katika maporomoko ya ardhi

Watu 23 wafariki  na wengine 6 wajeruhiwa katika maporomoko ya ardhi yaliotokea Oromiya  kufuatia mvua kali zilizonyesha nchini Ethiopia.

Mvua kali  zilizonyesha katika eneo la Oromiya zinesababisha vifo vya watu 23.

Vifo hivyo vimetokea  kufuatia maporomoko ya ardhi  yalisababishwa na mvua  hiyo kali.
Taarifa zilizotolewa na  FANA  imefahamisha kuwa watu 23 wamefariki na wengine 6 wamejeruhiwa . Mvua hiyo iliosababaisha maafa imenyesha Jumamosi .

Miongoni mwa watu waliofariki walikuemo wanawake 16.

No comments

Powered by Blogger.