Billnass afunguka kuhusu kuacha kufanya kazi na Petitman
Msanii Billnass amesema kuwa…>>>“Ameamua kufanya vitu vyake ni hatua nzuri tu na sisi tunaendelea, amejitoa sijui kama ameona amepoteza hela yake na muda wake kwangu naamini kila mtu anamaamuzi yake hatuwezi kufanya kazi milele, hatuna tatizo lolote”

No comments