Header Ads

Dkt.Slaa kuapishwa Leo Ikulu, apangiwa Ubalozi wa Sweden



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Februari 16, 2018 saa 3 asubuhi atawaapisha Dkt. Wilbrod Peter Slaa ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden na Muhidin Ally Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria.


No comments

Powered by Blogger.