Huyu Hapa Ndiye Mwanafunzi Aliyepigwa Risasi na Polisi Wakati wa Maandamano ya CHADEMA
Serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) imepokea kwa
mshituko taarifa za kifo cha mwanafunzi Aqulina Akwilini ambaye
inasemekana amepigwa risasi na polisi wakati wakikabiliana na
waandamanaji wa Chadema jana.Awali taarifa hizo zilimhusisha mwanafunzi
huyo na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) lakini baada ya uchunguzi wa
kina imebainika ni mwanafunzi anayesoma Chuo cha Usafirishaji NIT
R.I.P
R.I.P

No comments