Mdogo wa Marehemu Akwilina Apata Neema Ndalichako Ahaidi Kumsomesha
Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kumsomesha mdogo wake
Akwilina Akwilini, Angela Akwilini ambaye kwa sasa anasoma kidato cha
tatu.
Akizungumza leo Februari 23, 2018 baada ya mazishi ya Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam, Profesa Ndalichako amesema atamsomesha Angela hadi Chuo Kikuu.

No comments