Header Ads

VIDEO: Mbowe Awaka Msibani, Amtupia Lawama Spika wa Bunge


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe amesema watamzika mbunge wao Kasuku Bilago siku ya Alhamisi baada ya kukubaliana na familia yake na siyo Jumatano kama ambavyo ofisi ya Bunge inavyosambaza taarifa zake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USISAHAU KUSUBSCRIBE



No comments

Powered by Blogger.