Brazil yatoka sare na Uswisi, Kombe la Dunia
Brazil ikiwa miongoni mwa timu ambazo zinatabiriwa kuchukuwa kombe la dunia Urusi, imewashangaza wapenzi wa timu hiyo kwa kutoka sare na timu ya Uswisi.
Timu hizo zimetoka sare kwa bao moja kwa moja jambo ambalo limezidisha mashaka na kiwi cha kutaka kumjua mshindi wa kombe la dunia baada ya Brezil kushindwa kuibuka mshindi dhidi ya Uswisi timu ambayo ilikuwa ikitabiriwa kuchapwa na Brazil.

No comments