Header Ads

BREAKING NEWS: Ajali ya basi yaua Wanajeshi wa JWTZ Mbeya


 Basi lenye namba za usajili T 755 BAB lililokuwa likitokea mkoani Tabora limepata ajali eneo la Igodima jijini Mbeya na kusababisha vifo kadhaa vya askari wa Jeshi la Wananchi. Taarifa kamili tunakuletea.




No comments

Powered by Blogger.