Header Ads

Ommy Dimpozi siku 15 hospitali, afanyiwa upasuaji


Msanii wa muziki wa bongo fleva Omary nyembo maarufu ommy Dimpoz ametoa taarifa ya kupitia kipindi kigumu cha kuwa hospital ambapo alifanyiwa upasuaji mkubwa na alilazwa kwa siku 15 ambapo sasa anaendelea na matibabu.

vilevile ametoa shukrani kwa wote waliomjulia hali kwa kumtumia meseji na kumuombea kwa mungu.

No comments

Powered by Blogger.