Uturuki kufungua kituo cha sayansi mjini Istanbul
Uturuki inatarajia kufungua kituo cha sayansi mjini Istanbul.
Kwa mujibu wa habari,kituo hicho kitakuwa kikitembelewa na watu milioni 2 kila mwaka.
Rais ErdoÄŸan katika mtandao wake wa twitter ameandika kuwa kituo hicho kitafunguliwa Halic mjini Istanbul na kitakuwa an uwezo wa kuvutia wageni milioni 2 kwa mwaka.
Kituo hicho kitachangia kwa kiasi kikubwa masuala ya kisayansi.
Ujenzi wake unatarajia kumalizika ndani ya miaka mitatu.
Kitaigharimu Uturuki takriban milioni 100($21 millioni).

No comments