Hii hapa Ratiba ya Kombe la dunia Leo, Nigeria kufuta machozi waafrika
Ratiba kamili hii hapa
Timu pekee kutoka Afrika leo, Nigeria, inapewa nafasi ya kutufuta machozi waafrika wote endapo itafanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Peru kuanzia saa 4 usiku.
Michuano ya Kombe la Dunia inaendelea tena leo Jumamosi kwa viwanja vinne kuwaka moto nchini Urusi.
Katika mechi za jana, timu zote kutoka Afrika zilifanya vibaya kwa kupoteza michezo yake ya kwanza kwa bao 1-0.
Misiri iliyojitupa dimbani bila nyota wake Mo Salah ilifungwa mnamo dakika za mwisho na Uruguay huku Morocco nayo ikiambulia maumivu kwa bao moja pekee la kujifunga dhidi ya Irani.

No comments