Header Ads

VIDEO: DC Hapi awataka wakandarasi, Kurudisha Faida Kwenye Jamii


Mkuu wa wilaya ya kinondoni, Ali Hapi amewataka wandarasi wote wanaopewa tenda kuwa na mfumo wa kurudisha faida kwenye jamii ikimemo mashule Hospitali na sehemu zingine za kijamii wafanyapo kazi za tenda wanazopewa.

Hayo yamesemwa leo katika ofisi ya meya wa wilaya ya Kinondoni wakati wakisaini mikataba ya ujenzi wa barabara awamu  nyingine ya ujenzi wa barabara ambapo makambuni mawili yamesaini mikataba hiyo itakayoishia mwakani mwezi wa nane.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI................USISAHAU KUSUBSCRIBE......................



No comments

Powered by Blogger.