Header Ads

VIDEO: Sintofahamu Juu ya Ujenzi wa Chuo kikuu cha Kiislamu Tanzania

Mradi wa chuo Kikuu cha kiislamu kwa ufadhili wa SaudiaArabia,ahadi hii ili tolewa na Waziri wa Dini kutoka Saudia Arabian, mwaka jana 27/2017 Mufti mkuu wa Tanzania alienda kuhudhuria mkutano uliofanyika Tarehe 29/December /2017.

Akizungumza na waandishi wa habarikwa niaba ya Mufti kuu wa Tanzania Mjumbe wa baraza la Waislamu Bakwata Khamis Mataka , Amesema
katika mkutano ule ndipo   alizungumza naye juu ya haja ya Tanzania kuwa na chuo Kikuu na aka pewa Proposal, na baada ya kurudi nchi Mufti akalieleza hilo suala kama waliyoifikia zungumza na Waziri wa Mambo ya Dini.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...............USISAHAU KUSUBSCRIBE...........................



No comments

Powered by Blogger.