Header Ads

Waziri Uturuki azungumzia ushirikiano kati yao na China


Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt ÇavuÅŸoÄŸlu  katika ziara  yake  ya siku mbili nchini China azungumzia ushirikiano baina ya Uturuki na China.
 Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki  amewasili  Ijumaa nchini China baada ya kualikwa na  waziri wa mambo ya nje wa Chiba Wang Yi.
Mawaziri hao  wamezungumza kuhusu ushirikiano katika sekta tofauti ikiwemo sekta ya  biashara.
Akizungumza na waziri wa mambo ya nje wa Uturuki na waandishi wa habari, Wang Yi amesema kuwa  kuna umuhimu mkubwa kushirikinao na Uturuki kwa lengo la kuimarisha  ushirikiano na kufikia kunako malengo


No comments

Powered by Blogger.