Header Ads

KIKOSI CHA TAIFA STARS KITAKACHO CHEZA DHIDI YA UGANDA HIKI HAPA

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Emanuel Amunike ametangaza kikosi ambacho kitacheza na Uganda Cranes Septemba 08 kuwania nafasi ya kufuzu kwa AFCON.

Benno Kakolanya, Gadiel Michael, Kelvin Yondani, Andrew Vicent na Fiesal Salum ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga walioteuliwa kuunda kikosi hicho.

Kikosi kamili



No comments

Powered by Blogger.