Header Ads

Mamia wajitokeza shindano la ndevu na masharubu England (+picha)

Mamia ya watu kutoka duniani kote wamejitokeza katika shindano la kumtafuta mshindi wa ndevu na masharubu huko Blackpool nchini Uingereza.
Haya ni mashindano ya nne toka kuanzishwa kwake baada ya kufanyika Brighton mwaka 2012, Bristol 2014 na  Liverpool 2016.
Mashindano ya mtu mwenye ndevu nyingi na masharubu yanahusisha mtu wa jiansia yoyote kutoka mataifa mbalimbali duniani.


Matt Wall attends the fourth British Beard and Moustache Championships at the Empress Ballroom, Winter Gardens, Blackpool

Gilles Pollinen shows off his carefully groomed moustache at the Empress Ballrooms in Blackpool

Aarne Bielefeld shows off his well-curled star shaped beard and moustache at the championships

Contenders for the fourth British Beard and Moustache Championships at the Empress Ballroom

Juegen Burkardt attends the fourth British Beard and Moustache Championships

Robert Mevec displays his red tartan suit and grey beard in blackpool

Carl Porter attends the fourth British Beard and Moustache Championships in tweed and a fez

Juegen Burkardt shows off his well-styled beard at the fourth British Beard and Moustache Championships
Flying high: Ryan Pike puts on a pilot-like outfit for the competetion


No comments

Powered by Blogger.